News
Kardinali Robert Prevost (69) kutoka Marekani amechaguliwa kuwa Papa mpya wa 267, ambapo amechagua kutumia jina kwenye ...
Marais Donald Trump wa Marekani na Volodymyr Zelensky wa Ukraine wamempongeza Papa mpya, Leo wa XIV, kwa kuchaguliwa kwake ...
Kilio cha taasisi za umma kulimbikiza madeni ya huduma za maji na madai ya makandarasi kimezua mjadala bungeni wakati wa ...
Wakati wadau wa masuala ya afya wakipendekeza kujumuishwa huduma za uzazi wa mpango kwenye bima ya afya, Serikali imesema ...
Papa Leo XIV alikuwa mwanachama wa Shirika la Mtakatifu Augustine, ambaye anaelezwa kufanana kimatendo na Papa Francis katika ...
Vatican City. Papa Leo wa XIV ametoa hotuba yake ya kwanza akiwa Papa kwa kutumia lugha ya Kiitaliano na Kihispania. Baada ya ...
Serikali imefungua milango kwa Watanzania wanaokabiliwa na changamoto ya kulea watoto wao, ikiwataka kuwapeleka kwa utaratibu ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itafanya uchambuzi yakinifu ili kuona njia sahihi ya kupunguza matumizi ya pesa ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Sauda Mohamed (48) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya ...
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Lazaro Twange anabainisha kile anachokwenda kukifanya ndani ...
Wabunge wameonyesha kusikitishwa na kushangazwa na maazimio sita yaliyotolewa na Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Serikali ya ...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Pindi Chana amekabidhiwa jukumu la kuongoza mapambano ya kudhibiti na kukomesha uhalifu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results